Back to top

Walioenguliwa kwenye Baraza la Mawaziri.

08 January 2022
Share

Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kufanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri wafuatao ni Mawaziri na Naibu Waziri walioondolewa kwenye Baraza hilo:- 

-Profesa Kitila Mkumbo - Aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara.

-William Lukuvi - Aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi.

-Prof. Paramagamba Kabudi - Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria.

-Geofrey Mwambe - Aliyekuwa Waziri wa Uwekezaji.

-Mwita Waitara - Aliyekuwa Naibu Waziri wa Ujenzi.