Back to top

Wananchi wajitolea kujenga zahanati ya kisasa wilayani Kalambo.

22 February 2021
Share

Wananchi katika kijiji cha Mbuza kata ya Mkoe wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa wamejitolea kujenga jengo la zahanati mpya na ya kisasa baada ya zahanati iliyopo kuzidiwa na idadi kubwa ya wagonjwa iliotokana na  ongezeko la watu kutoka kaya 100 hadi kufikia idadi ya  kaya.
.
Aidha Akizungumza na ITV Mganga Mfawidhi wa zahanati hiyo Esta Lubamba, amesema wakati mwingine hulazimika kuwalaza wagonjwa chini kutokana ufinyu wa jengo.