Back to top

Wananchi waomba watumishi wa afya wenye sifa Newala.

11 September 2019
Share

Uhaba wa watumishi wa afya katika zahanati ya kijiji cha  Makote wilaya ya Newala mkoani Mtwara umepelekea kamati ya afya ya za hanati hiyo kutoa huduma za kitabibu kwa wagonjwa  ikiwemo kuweka vipandikizi kwa wakina mama, jambo lililoistusha serikali na kutaka uchunguzi ufanyike  ili watumishi waliohusika wachukuliwe hatua.