Back to top

Wananchi watakiwa kutunza vyanzo vya Mito.

23 November 2021
Share

Serikali imewataka wananchi waishio kando kando ya vyanzo vya mito inayotumika na mabwawa ya kuzalishia umeme kuzingatia sheria za uhifadhi na utunzaji vyanzo hivyo ili kuepuka uharibifu wa mazingira hali inayoweza kupelekea kukauka kwa vyanzo hivyo na kusababisha upungufu wa uzalishwaji wa umeme.