Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt Angeline Mabula, ameonya wale wanaoomba vibali vya ujenzi kwa ajili ya ukarabati majengo na badala yake wanafanya ujenzi bila kuzingatia mipango ya uendelezaji miji katika maeneo husika, kuacha mara moja
Waziri Dkt Mabula ametoa onyo hilo wilayani Kigamboni, mkoa wa Dar es Salaam, wakati wa zoezi la utoaji hati kwa wananchi wa wilaya hiyo.Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt Angeline Mabula, ameonya wale wanaoomba vibali vya ujenzi kwa ajili ya ukarabati majengo na badala yake wanafanya ujenzi bila kuzingatia mipango ya uendelezaji miji katika maeneo husika, kuacha mara moja

Waziri Dkt Mabula ametoa onyo hilo wilayani Kigamboni, mkoa wa Dar es Salaam, wakati wa zoezi la utoaji hati kwa wananchi wa wilaya hiyo.