Back to top

WAWILI MBARONI, WAKUTWA NA KILO 19 ZA SUKARI FEKI

23 December 2022
Share

Mussa Solomoni na Ezekia Obadia wakazi wa Mji wa Mlowo uliopo wilayani Mbozi, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani mkoani Songwe kwa tuhuma za kukutwa na  katoni 19 za sukari zinazodaiwa kuwa ni feki ambazo walikuwa wanaziingiza nchini kwa njia ya magendo katika mpaka wa Tanzania na Malawi uliopo wilayani Ileje.