Back to top

Wazee, Kwamsisi waruhusu ujenzi wa barabara.

14 December 2021
Share

Wazee wa Kijiji cha Kwamsisi wilayani Handeni mkoani Tanga ambao walizuia ujenzi wa Barabara ya Afrika Mashariki inayopita kwenye kijiji chao mpaka wapewe kiasi cha shilingi milioni 21 ili waweze kuitambikia barabara hiyo, hatimaye Wazee hao wamekubali kupewa shilingi milioni moja na laki tatu ili ujenzi huo uendelee hali iliyomruhusu mkandarasi wa barabara hiyo kuendelea na ujenzi.