Back to top

Waziri wa Ulinzi wa Urusi, apata mshtuko wa moyo

26 March 2022
Share

Mshauri wa waziri wa mambo ya ndani wa Ukraine, Anton Gerashchenko, amedai kuwa Waziri wa Ulinzi wa Urusi, Sergei Shoigu alipata mshtuko wa moyo baada ya shutuma kali kutoka kwa Rais wa nchi hiyo Vladmir Putin kwa kushindwa kabisa kwa uvamizi wa Ukraine.

Hata hivyo, hakujawa na uthibitisho kutoka Urusi juu ya madai ya matatizo ya kiafya ya Shoigu. #BBC