Back to top

ZIMAMOTO KATAVI, WAOMBA KUONGEZEWA VIFAA

14 July 2023
Share

Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mkoa wa Katavi, wameiomba serikali, kuwaongezea vifaa vya kutolea msaada pale majanga yanapotokea, kufuatia kuwepo kwa upungufu mkubwa wa vitendea kazi, hasa vifaa vya uokozi wa majini na uchakavu wa magari ya kuzimia moto.
.
Askari hao wameyasema hayo wakati wakipandishwa vyeo, huku Kamanda wa Jeshi hilo, mkoani humo, Regina Kaombwe, akiwataka Askari hao kufanya kazi kwa kuzingatia uataratibu.