Back to top

MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KILIMO VIWANJA VYA BUNGE DODOMA.

03 May 2024
Share

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, katika maonesho ya Kilimo yanayoendelea katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma yanayolenga kuonesha ubunifu na teknolojia za kisasa zinavyoweza kuchochea maendeleo kwenye Sekta ya Kilimo.

 

Maonyesho hayo yenye kauli mbiu ya 'FROM LAB TO FARM 2024' yamekuwa kivutio kikubwa kwa viongozi na wageni mbalimbali waliofika bungeni hapo, wakiwemo baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi, wadau wa Kilimo .