Back to top

WAZIRI MKUU MWIGULU ATETA NA MWAKILISHI WA AKDN AMIN MAWJI

10 June 2026
Share

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya mazungumzo na Bw. Amin Mawji, Mwakilishi wa Kidiplomasia wa Shirika la Maendeleo la Aga Khan (AKDN), ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya ushirikiano wa maendeleo.

Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, leo Jumatano, Juni 10, 2026.