Back to top

Picha 12 za muonekano wa barabara ya siwa iliyopo Mikocheni viwandani

12 May 2018
Share

Huu ndio muonekano wa barabara ya siwa iliyopo Mikocheni viwandani kupitia kituo cha utangazaji cha ITV jijini Dar es Salaam ambayo imechimbika mashimo na kusababisha adha kwa wakazi wa eneo hili kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha .Picha na ITV leo tarehe 12 Mei 2018