Back to top

Waziri wa Mifugo Mhe.Mashimba Ndaki amemteua msajili Bodi ya Nyama.

01 April 2021
Share

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Mashimba Ndaki amemteua Dkt.Daniel Elias Mushi kuwa Msajili wa Bodi ya Nyama Tanzania, ambapo awali nafasi hiyo ilikuwa ikikamiwa na Bw.Iman Paul Sichalwe ambaye amepangiwa kazi nyingine.