Back to top

Wakuu wa Polisi waungana kukabiliana na uhalifu.

26 January 2022
Share

Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki mwa Afrika(EAPCCO) na Wakuu wa Polisi Mashariki ya Kati(CAPCCO) wameendelea kuunganisha nguvu katika kukomesha uhalifu unaovuka mipaka, makosa ya ugaidi pamoja na usafirishaji wa dawa za kulevya na kutekeleza makubaliano mbalimbali kwa kufanya operesheni za pamoja sambamba na ubadilishanaji wa taarifa za uhalifu na wahalifu.