Back to top

Wawili wauawa na Mganga wa kienyeji Njombe

04 February 2022
Share

Watu wanne wameuawa mkoani Njombe, Katika matukio tofauti ambapo Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe, Hamisi Issah amebainisha kuwa wawili kati yao wameuawa na Mganga wa kienyeji aliyejulikana kwa jina la Joseph Paulas Mgunda mkazi Makambako na kutupwa katika msitu wa Kupanda uliopo Mjini Njombe.