Back to top

Wafanyakazi wa Azam Media wapata ajali Iringa.

13 February 2022
Share

Wafanyakazi 12 wa Azam Media Limited (AML) waliokuwa wakielekea mkoani Mbeya kwa ajili ya kurusha matangazo ya mechi za Ligi Kuu ya NBC (NBCPL) wamepata ajali baada ya gari lao kusukumwa na lori lililokuwa likirudi nyuma kwa dharura katika Mlima Kitonga, mkoani Iringa ambapo majeruhi wamechukuliwa na matabibu wa Mkoa huo kwa matibabu zaidi.