Back to top

Putin: Wanaojisalimisha kushughulikiwa

21 April 2022
Share

Rais wa Urusi Vladimir Putin amempongeza Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo Sergei Shoigu kwa kufanikiwa kuchukua udhibiti wa mji wa Mariupol ambapo amesema hakuna haja ya kuvamia eneo la kiwanda cha chuma cha Azovstal kilichopo Mariupol na wale wanaochagua kujisalimisha watashughulikiwa kwa mujibu wa mikataba ya kimataifa.  
.
Hata hivyo, Maafisa wa Ukraine wamekanusha kuwa Mariupol imeangukia Urusi.