Back to top

Tanzania kuendeleza ushirikiano na CDC

27 July 2022
Share

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuhakikishia Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Nchini Marekani(CDC) Dkt. Rochelle Walensky, kuwa Tanzania itaendelea kukipa ushirikiano kituo hicho.
.
Mhe. Majaliwa ameyasema hayo alipokutana na kuzungumza na Mkurugenzi huyo katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam.