Back to top

Odinga agonga mwamba 'server' za uchaguzi

01 September 2022
Share

Kampuni ya Smartmatic ya nchini Uholanzi iliyotumika kutoa huduma ya kiteknolojia kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya  imekataa kufungua server za Tume hiyo ikidai kuwa sheria zake haziruhusu licha ya mahakama kuu nchini humo kuagiza server hizo zifunguliwe ili walalamishi wafanye ukaguzi.