Back to top

Tozo: Serikali yatakiwa kuchukua hatua

08 September 2022
Share

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa-Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imeona umuhimu wa serikali kusikiliza maoni na ushauri wa wananchi kuhusu utekelezaji wa Bajeti ya 2022/2023 hususani katika eneo la tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza kutekelezwa hivi karibuni ambapo kamati hiyo imeielekeza serikali kutazama hali halisi na kuchukua hatua stahiki.