
Rais wa Jamhuri ya NMuungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Sululu Hassan, amefanya uteuzi wa Naibu Makatibu Wakuu katika Wizara mbili:-
1:Amemteua Dkt.Hashili Twaib Abdallah, kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Kabla ya uteuzi huo Dkt.Hashili alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara(Uwekezaji).
2:Amemteua Kaspar Kaspar Mmuya, kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kabla ya uteuzi huo Bw.Mmuya alikuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera, Bunge na Uratibu).

