Back to top

Wanaoomba vibali vya ujenzi kinyume na mipango miji waonywa.

20 December 2022
Share

Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt Angeline Mabula, ameonya wale wanaoomba vibali vya ujenzi kwa ajili ya ukarabati majengo na badala yake wanafanya ujenzi bila kuzingatia mipango ya uendelezaji miji katika maeneo husika, kuacha mara moja

Waziri Dkt Mabula ametoa onyo hilo  wilayani Kigamboni, mkoa wa Dar es Salaam, wakati wa zoezi la utoaji hati kwa wananchi wa wilaya hiyo.Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt Angeline Mabula, ameonya wale wanaoomba vibali vya ujenzi kwa ajili ya ukarabati majengo na badala yake wanafanya ujenzi bila kuzingatia mipango ya uendelezaji miji katika maeneo husika, kuacha mara moja

Waziri Dkt Mabula ametoa onyo hilo  wilayani Kigamboni, mkoa wa Dar es Salaam, wakati wa zoezi la utoaji hati kwa wananchi wa wilaya hiyo.