
Timu ya Yanga SC imetangaza kuachana na mchezaji wake machachali Bernard Morrison, ambapo imemshukuru na kumtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya klabu hiyo.
.
Ikumbukwe Mchezaji huyo alijiunga na timu hiyo akitokea timu ya watani wao wa jadi Simba SC.
.
Je, unadhani Morrison ataelekea timu ipi?

