Back to top

MKATABA BANDARI USIATHIRI MASLAHI YETU - MABAHARIA

26 June 2023
Share

Katibu Mkuu wa Chama cha Mabaharia Tanzania, Bw.Josiah Mwakibuja, ameiomba serikali kuhakikisha mkataba wa bandari hauathiri maslahi ya mabaharia wa ndani, na utoe fursa ya kufanya kazi kwa mabaharia hao ili wanufaike kama mabaharia wa nchi zingine. 
.
Bw.Mwakibuja ameyasema hayo kwenye Kilele cha Wiki ya Mabaharia, ambayo kitaifa kilifanyika mkoani Mwanza.