
Baadhi ya madereva wa serikali katika Mkoa wa Shinyanga, wameomba kupewa semina, zitakazotoa mafunzo kwa madereva hao, ili waende sawa na maendeleo ya teknolojia, ambapo wamedai kuwa miaka ya hivi karibuni, magari mengi yamekuwa yakija na teknolojia ya kisasa zaidi ambayo yanahitaji madereva kupewa elimu ya mara kwa mara.
.
Madereva hao wameyasema hayo, katika Mkutano wa Mkuu wa madereva hao.
