Back to top

CHALAMILA ASHTUKIA UPIGAJI SOKO LA ZAKHIEM, MBAGALA

29 August 2023
Share

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe.Damas Ndumbaro amesema kuhusu suala la Katiba, watu wengi wanaweka mbele mahitaji ya kisiasa na kusahau kuwa kwenye katiba, kuna mahitaji mengine, zaidi ya siasa. 
.
Ndumbaro ameyasema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari , baada ya Mjadala wa Katiba mpya, kuelekea mkakati wa Taifa wa elimu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kwa umma, ulioendeshwa na Wizara hiyo.
.
Mjadala huo umewahusisha Mawaziri wa Sheria na Wanasheria Wakuu wastaafu na waliopo ambao wamesisitiza uhitaji wa kupewa kipaumbele kwa mchakato mzima wa Katiba, na kuhakikisha hawafanyi makosa yaliyofanyika nyuma.