Back to top

UINGEREZA KUTOA CHANJO, AINA MPYA YA COVID

31 August 2023
Share

Serikali ya Uingereza imetangaza kuanza mpango wa kutoa chanjo za mafua na Covid-19, mwanzoni mwa msimu wa baridi kama tahadhari baada ya kugundulika kwa aina mpya ya kirusi cha Covid cha BA.2.86, huku wanasayansi nchini humo wakibainisha kuwa kirusi hicho ambacho kimetokana na kile cha Omicron, huenda kisisababishe maradhi au vifo kutokana na kinga ya chanjo za awali. #via #VOA