
Mmiliki wa mtandao wa 'X' zamani Twitter, Elon Musk, amesema hivi karibuni mtandao huo, utaongeza kipengele cha kupiga simu kwa njia ya sauti na video.
.
Elon ametoa taarifa hiyo, kupitia mtandao huo, ambapo amebainisha kuwa kipengere hicho, kitapatikana kupitia iOS, Android, Mac and Windows na hakitamuhitaji mtu kutumia namba za simu.
