Back to top

Waziri Mkuu Majaliwa amewasili usiku wa kumkia leo nchini Rwanda.

21 March 2018
Share

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili usiku wa kumkia leo nchini Rwanda kwa ajili ya kumuwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika mkutano wa 10 wa Viongozi wa Nchi na Serikali katika Umoja wa Afrika ( AU).

Mkutano wa siku mbili unaanza leo Mjini Kigali ukiwa na lengo la Uawanzishwaji Eneo Huru Biashara Afrika

Katika mkutano huo ambao utaongozwa na Mwenykiti wa Umoja wa Afrika (AU) Paul Kagame nakufuatiwa na Viongozi wanchi kuongea pamoja na kutia saini makubaliano yatakayoafikiwa.