Back to top

Mwenyekiti mtandao wa wanafunzi Abdul Nondo afikishwa Mahakamani.

21 March 2018
Share

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo anayedaiwa kujiteka wiki chache zilizopita amefikishwa katika Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Iringa kujibu mashitaka yanayomkabili. 

Taarifa zaidi kukujia endelea kuwa nasi.