Back to top

Ajali ya gari aina ya Scania yaua watu saba mkoani Kigoma.

21 March 2018
Share

Watu 7 wamefariki katika ajali iliyohusisha gari aina ya Scania Lori iliyotokea katika kijiji cha Mkongoro Kigoma.

Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo leo 21 March 2018 Kamanda wa polisi mkoani Kigoma Martin Otieno ameiambia ITV kwamba Chanzo cha ajali, ni Dereva wa Lori kushindwa kulimudu gari wakati akishuka kwenye mteremko uliokuwa na kona kali na kumgonga mtembea kwa miguu na kisha kupinduka.


Taarifa zaidi itakujia hapahapa endelea kuwa nasi.