Back to top

IJUE SHERIA

Ni kipindi kinachoelimisha jamii kuhusu sheria mbalimbali za ndani na nje, kanuni na taratibu zake zikiletwa na wataalamu wa sheria na mawakili waalikwa. KIPINDI KINA SEGMENTS MBILI: 1.Mwalikwa/ wakili akielezea sheria katika kipindi husika 2.Waathirika kutokana na sheria husika wakihojiwa hii ni baada ya kesi yao kwisha, ikiwa haiko tena mahakamani. Mtayarishaji: Silewe Nguma JUMATANO SAA 1:00-1:30 USIKU

Duration: 
30 mins
JUMATANO SAA 1:00 -1:30 USIKU