Back to top

Bondia wa Tanzania "vifua viwili" apima uzito tayari kwa pambano.

20 April 2021
Share

Bondia wa Tanzania Bruno Tarimo maarufu vifua viwili leo amemaliza zoezi la kupima uzito na afya pamoja na mpizani wake Kye Mackenzie wa Australia tayari kwa mpambano wao wa kugombea mikanda mitatu maarufu ulimwenguni ambayo ni WBA , WBO na  IBF .

Pambano hilo litapigwa kesho Jumatano Aprili 21, 2021  nchini Australia katika mji wa Sydney .