Back to top

TFF yawafungia Jonas Mkude na Benard Morrison

24 June 2020
Share

Kamati ya nidhamu ya TFF imewafungia mechi mbili kila mmoja na faini ya laki tano.

Jonas Mkude anaingia kwenye adhabu hii baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wa Biashara United ya Mara.

Huku Benard Morrison naye akiingia katika adhabu hii baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wa Tanzania Prisons ya Mbeya.
Adhabu hizi zinaanza mara moja kuanzia michezo ya leo.