Back to top

BASI JIPYA LA SINGIDA FOUNTAIN GATE

02 August 2023
Share

PICHA: Timu ya Singida Fontain Gate imetambulisha basi lake jipya aina ya Yutong ililopewa na mdhamini wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
. 
Basi hilo limekabidhiwa katika hafla ya Singida Big Day inayofanyika leo Agosti 02, 2023, katika uwanja wa CCM uliopo Singida mjini.