Back to top

DEREVA BAJAJ WASIOKUWA NA VYETI KUKIONA

06 March 2023
Share

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, ACP Alex Mkama , amewataka madereva  wa Bajaj na Pikipiki ambao hawana vyeti vya udereva kuhakikisha wanaenda kusoma udereva  kwenye vyuo vinavyotambulika na serikali na kupata vyeti, kabla Jeshi hilo halijaanza operesheni ya kuwasaka ambao wataendesha vyombo hivyo bila kukidhi vigezo.