Back to top

Elon Musk aitwa "Mkoloni asiyejiamini"

18 November 2022
Share

Maneno ya kumkashfu mmiliki mpya wa Mtandao wa Twitter Elon Musk yakiwemo "Mfadhili wa ubaguzi wa rangi" na "Mkoloni asiyejiamini", yameonekana yakionyeshwa katika upande mmoja wa Jengo la ofisi za mtandao huo zilizopo San Fransisco nchini Marekani.
.
Hata hivyo ofisi hizo zimeripotiwa kufungwa hadi Jumatatu ,baada ya Elon Musk kutoa maagizo kwa wafanyakazi wake kukubaliana na kufanya kazi kwa masaa mengi au kuacha kazi.