Back to top

LIFT YAPOROMOKA JENGO LA MILLENIUM TOWER

24 May 2023
Share

Watu kadhaa wamejeruhiwa, baada ya lift iliyopo katika jengo la Millenium Tower, Makumbusho mkoani Dar es Salaam, kuporomoka kutoka ghorofa ya 10, ambapo Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Patrick Mohammed amesema, chanzo cha lift hiyo kuporomoka ni kuzidisha idadi ya watu tofauti na uwezo wa lift hiyo.