Back to top

News

Wizara ya kilimo imebainisha kuwa utafiti unaofanywa, umeendelea kuwezesha upatikanaji wa mbegu Bora za mazao zenye sifa za kustahimili mabadiliko ya tabia nchi, magonjwa na wadudu waharibifu pamoja na kuongezeka kwa kiwango cha mavuno.