Back to top

Mafunzo yawe endelevu kwa askari wa VGS.

08 January 2022
Share

Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori Dk.Maurus Msuha amekitaka Chuo cha Mafunzo ya Maliasili kwa Jamii cha Likuyu kilichopo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma kuwa na mafunzo endelevu ya Askari wa Wanyamapori wa Vijiji (VGS) ili kukabiliana na changamoto ya wanyama wakali kuvamia maeneo ya makazi ya watu ,kuharibu mazao na kusababisha vifo .