Mbunge awaomba radhi Watanzania.

Mbunge wa Kigoma Kusini Mh Hasna Mwilima ameomba radhi Watanzania kutokana na kauli yake aliyoitoa kuhusu wahudumu wa ndege ya Shirika la ndege la Tanzania.


Mhe.Mwilima amesema lengo lake lilikuwa ni kutaka kuboresha huduma zinazotolewa na shirika hilo.