Back to top

MKEKA MPYA WAKUU WA WILAYA HUU HAPA.

25 January 2023
Share

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48, na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao. 

Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100.