Back to top

Mlinzi mbaroni kwa kumpiga risasi Bodaboda.

18 January 2022
Share

Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia mlinzi wa kampuni ya ulinzi ya Panolama Bw.Elizeus Gabriel kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi mwendesha pikipiki(bodaboda) mkazi wa Kata ya Nshamba wilayani Muleba mkoani Kagera, alipokuwa akikatiza karibu na maduka ya wafanyabiashara majira ya usiku.