Back to top

Rais Magufuli:Mtaka ni Mkuu wa Mkoa mzuri.

08 September 2018
Share

Rais Dkt.John Magufuli amesema Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka ndio mkuu wa mkoa anayefanya kazi vizuri kutokana na ripoti aliyopewa na watu wake.

Amesema wakati akijaribu kutafuta wakuu wa Wilaya na wakuu wa Mkoa walisema Mtaka hafai hata kuwa mkuu wa wilaya ila alimpa ukuu wa mkoa kuwakomesha waliosema Mtaka hafai na sasa ndio kiongozi aneyefanya kazi vizuri kuliko wote. 

“Nimeuliza tena hebu niletee ripoti ya Wakuu wa Mikoa wanaofanya kazi vizuri, wakaleta Mtaka ndio namba one (moja) na namba mbili".Rais Dkt.John Magufuli.