
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Tulia Ackson, amewasili nchini Morocco, leo Juni 12, 2023, ambapo atashiriki Mkutano wa Kibunge wa Majadiliano kuhusu Dini mbalimbali (Conference on Interfaith Dialogue) utakaofanyika nchini humo Juni 13, 2023 hadi Juni 15, 2023.
Dkt. Tulia anatarajiwa kushiriki Mkutano wa Kibunge wa Majadiliano kuhusu Dini mbalimbali (Conference on Interfaith Dialogue) utakaofanyika nchini humo Juni 13 - 15, 2023.

