
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ametangaza nia yake ya kuwania tena nafasi hiyo mwaka 2024.
.
Trump ametangaza nia hiyo wakati akizungumza na wafuasi wake katika eneo la Mar-a-Lago huko Florida nchini Marekani ambapo alibainisha kuwa anagombea kwa sababu anaamini ulimwengu bado haujaona utukufu wa kweli wa taifa hilo. #Aljaazera
