Back to top

VIRUSI VYA MARBURG, WATU 192 WATENGWA

23 March 2023
Share

Watu 192 wametengwa na kuwekwa chini ya uangalizi maalum huku wengine wakiendelea kutafutwa, baada ya kubainika kuwa wametangamana na watu watano waliofariki na watatu wanaoendelea na matibabu, kutokana na ugonjwa wa virusi vya Marburg, ulioibuka mkoani Kagera hivi karibuni, ikiwa ni hatua ya kuudhibiti ugonjwa huo usienee.