Back to top

Watu 6 wahukumiwa kifo kwa makosa ya ugaidi nchini Misri.

20 August 2019
Share

Mahakama moja ya juu nchini Misri imewahukumu kifo washitakiwa sita na wengine 41 kutumikia kifungo cha maisha grezani baada ya kupatikana na hatiani ya makosa ya ugaidi.

Katika hukumu hiyo mahakama hiyo pia imeamuru kifungo cha miaka 15 gerezani wa washitakiwa wengine saba, huku mtoto mmoja akifungwa miaka mitatu pamoja na kuwafutia mashtaka watuhumiwa wengine 14 katika kesihiyo.