Back to top

WAZIRI BASHE ATUMBUA MMOJA, DAKAWA

05 February 2023
Share

Waziri wa Kilimo, Mhe.Hussein Bashe, ametengua uteuzi wa aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Joseph Lutango, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Umoja wa Wakulima wa Mpunga Dakawa (UWAWAKUDA) kutokana na kudaiwa kushindwa kusimamia vyema umoja huo na kuonekana dalili za wizi wa fedha zaidi ya Tsh. Mil. 500 katika umoja huo.
.
Mhe.Bashe amefikia maamuzi hayo, kufuatia wito wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Daniel Chongolo wa kushughulikia migogoro ya kilimo kwenye maeneo hayo.