Serikali imesema kuwa, mafunzo ya uimarishaji mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Burundi, yanalenga kujenga uelewa wa pamoja kati ya wataalam wa nchi hizo mbili.